Mapenzi ni uchizi..Angalia picha za Aunt Ezekiel anachofanya na mpenzi wake...

Wanayoyajua mapenzi wanasema,,,Wapenzi wanapokuwa mahali pamoja ni sawa na watoto tu maana mambo wanayoyafanya huwa katika hali ya kawaida na watu wazima wenye akili zao hawawezi kufanya ila tu kwasababu ya kupenda basi inatufanya tujisikie furaha na wale tunaokuwa nao..
Naili ufurahie haya Mapenzi basi huna budi kufurahi na mpemzi wako na kuwa kama mtoto bila kujali ni nini au utaonekanaje cha msingi ni kumfurahisha yule unaye mpenda..Nakulinda penzi lako